- 246 viewsDuration: 2:15Furaha imerejea katika eneo la Gofa na vijiji jirani katika maeneo ya Mandera Kaskazini na Mandera Kusini, kaunti ya Mandera. Matumaini mapya ya kurejesha amani na maisha ya kawaida yanaendelea kuchipuka huku juhudi za maridhiano kati ya jamii za Garre na Degodia zikiendelea kuzaa matunda baada ya migogoro iliyodumu kwa miaka mingi iliyowafanya watu kupoteza makazi yao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive