20 Nov 2025 1:19 pm | Citizen TV 208 views Duration: 2:22 Jamii kutoka Kaskazini mwa Kenya zimeadhimisha mwaka mmoja wa utulivu kwa nyimbo, chakula na ngoma huku zikitoa wito wa kuendelea kuishi kwa amani na utangamano.