- 6,605 viewsDuration: 1:36Manchester United imemtimua meneja Ruben Amorim, huku Darren Fletcher akitarajiwa kuchukua mikoba kwa muda mfupi na ataanza kwa kusimamia mechi ya Jumatano ya Ligi Kuu dhidi ya Burnley. Siku ya Ijumaa Amorim alidokeza kuwa uhusiano wake na viongozi wa klabu ulikuwa mbaya , akisema kwamba hataungwa mkono kikamilifu katika soko la uhamisho. Tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson May 2013, Manchester United imefundishwa na makocha 8, ambao hawajaweza kuipa klabu hiyo mafanikio makubwa. Kwa maoni yako, nani anafaa kuifundisha United kwa sasa? @mcdavid_nkya_ na taarifa hii: - - #bbcswahili #manchesterunited #soka #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw