Je unaifahamu nchi yenye furaha zaidi duniani?

  • | BBC Swahili
    8,281 views
    Ripoti ya Umoja wa Mataifa ya Furaha Duniani hutoa orodha ya nchi zenye furaha zaidi duniani kila mwaka, Je hutumia vigezo gani? @scolar_kisanga anaelezea nchi zilizoshika nafasi tano za juu na sababu zinazofanya kuwa na furaha. #bbcswahili #UN #nchizenyefuraha Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw