Je wanamuziki Diamondplatnumz na Zuchu ni kweli wamefunga ndoa?

  • | BBC Swahili
    5,410 views
    Haya yanajiri baada ya Diamond Platnumz kuchapisha video ikimuonesha akiwa na Sheikh anafungishwa ndoa na kufuatiwa na picha zikimuonesha akimuoa Zuchu. Mama yake @mama_dangote pia amethibisha kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ni kweli mwanawe Diamond platnumz na zuchu wameoana. Swali ni je kwanini waoane kisirisiri? Na kwanini Diamond Platnumz na Zuchu wameamua kuachia video hizi sasa? Kuna nini hapa kilichojificha? :@frankmavura #bbcswahili tanzania #bongofleva Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw