Skip to main content
Skip to main content

Jengo la kihistoria la turathi kujengwa kwa ukumbusho wa Mekatilili Wa Menza

  • | KBC Video
    88 views
    Duration: 1:50
    Baraza la kitaifa la mashujaa litaanzisha ujenzi wa eneo la kihistoria la turathi katika uwanja wa Shakahola kwa ukumbusho wa Mekatilili Wa Menza, aliyekuwa mwanaharakati wa uhuru humu nchini aliyewaongoza jamii ya Giriama dhidi ya utawala wa kikoloni nchini Kenya baina ya mwaka 1912 na mwaka 1915. Kwenye mpango huo sanamu yake itaezekwa katika eneo mahsusi ili kukumbusha vizazi vijavyo Mekatilili wa Menza alikuwa nani katika historia ya nchi hii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive