Joseph Mwenda ‘DJ Joe Mfalme’ na wenzake wasita wafikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    1,744 views

    Joseph Mwenda maarufu kama Dj Joe Mfalme ni miongoni mwa washukiwa 7 waliofikishwa katika mahakama ya Kibera leo wanapokabiliwa na tuhuma ya mauaji ya afisa wa DCI Felix Kelian