Skip to main content
Skip to main content

Jubilee yafanya mageuzi, Kioni apandishwa, Ole Kenta achukua Katibu Mkuu

  • | Citizen TV
    3,062 views
    Duration: 3:06
    Chama cha Jubilee kimefanya mageuzi ya viongozi wake huku Jeremiah Kioni akihamishwa kuwa mmoja wa manaibu kinara wa chama hicho, nafasi yake ya Katibu Mkuu ikipewa mbunge wa zamani Moitalel Ole Kenta. Kwenye kikao kilichofanyika katika makao makuu ya chama hicho, naibu kinara wa Jubilee Fred Matiangi ametumia fursa hiyo kukosoa utawala wa rais William Ruto haswa katika mwelekeo wa sekta ya elimu nchini.