- 2,105 viewsDuration: 2:24Juhudi za awali kubadilisha katiba ya mwaka wa 2010 kupitia kura ya maamuzi hadi sasa hazijafua dafu. Ni suala ambalo limeibua hisia mseto huku pendekezo la kubadilisha katiba wakati wa uchaguzi mkuu ujao likikisiwa kukabiliwa na changamoto nyingi za kisheria. Seth Olale anaarifu zaidi.