Skip to main content
Skip to main content

Juhudi za kuhakikisha vijana wanashiriki katika utawala zapigwa jeki

  • | KBC Video
    65 views
    Duration: 1:48
    Juhudi za kuhakikisha vijana nchini wanashiriki katika maswala ya utawala,zimepigwa jeki kufuatia kuzinduliwa rasmi kwa vugu vugu la kuwahusisha na kuhamasisha vijana katika maswala ya utawala.Hayo yanajiri baada ya mashirika husika kutia saini makubaliano ya maelewano ,hatua inayotoa fursa ya kuwashirikisha vijana katika maswala ya uongozi,demokrasia na mchakato wa uchaguzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive