JUKWA LA AFYA | Malezi ya watoto wachanga [Part 4]

  • | Citizen TV
    59 views

    Malezi ya watoto wachanga Mada: huduma zinazotolewa kwa watoto wachanga Changamoto za afya ya watoto waliozaliwa karibuni Lishe, malezi na huduma zifaazo kwa watoto wachanga Je, ni umri gani ambao mtoto anapaswa kuanza kula? Je, mtoto akianza kula, anapaswa kuanza na chakula gani? Je, mtoto anapaswa kunyonyeshwa hadi umri gani?