Jukwaa ka mikutano ya kisiasa limeporomoka na kuua watu watu tisa na kujeruhi darzen #short #shorts

  • | VOA Swahili
    213 views
    Takriban Watu tisa wameuawa na wapatao 50 kujeruhiwa baada ya upepo mkali kusambaratisha jengo kubwa la tamasha inakofanyika mikutano ya kisiasa huko Mexico, Jumatano. Picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zimeonyesha madhara yaliyotokea punde baada ya jukwaa kuanguka, watu wakikimbia na kupiga kelele wakati upepo mkali ukipiga Shiria la habari la Reuters liliweza kulinganisha picha ya eneo hilo kwa kuangalia video za vyombo vya habari vya ndani vilivyokuwepo katika na eneo la tukio zilizopostiwa na mgombea umeya wa San Pedro Garza Garcia, Lorenia Canavati katika mtandao wa kijamii. Shirika la habari liliweza kuthibitisha tarehe ya picha hizo kutoka maktaba ya Metadata. Jorge Alvarez Maynez, mgombea urais wa chama cha Centrist Citizens' Movement, alisema upepo mkali ulisababisha jukwaa kuporomoka wakati wa mkutano wa kampeni katika jiji la San Pedro Garza Garcia, eneo tajiri karibu na kitovu cha Monterrey. #mexico #rally #stage #collapse #deaths #injuries #voaswahili
    death