- 10 views• Wakunga wanahakikisha ujauzito salama na kuokoa maisha • Hatua hiyo inachangia kuishi kwa wanawake na watoto wachanga • Wauguzi wanapunguza maambukizi kutoka kwa mama hadi mtoto • Pia wanachangai kupunguza idadi ya upasuaji usio wa lazima • UNFPA: Idadi ya wakunga bado ni ndogo sana