Skip to main content
Skip to main content

Kaka yake adai Tupac arudishwe

  • | BBC Swahili
    27,520 views
    Duration: 1:06
    Rapper Tupac Shakur aliuawa kwa kupigwa risasi katika shambulio la kutokea kwenye gari tarehe 7 Septemba 1996. Kifo chake kikawa moja ya mafumbo makubwa katika utamaduni maarufu, kikizua nadharia nyingi lakini bila kukamatwa kwa mtu yeyote kwa karibu miongo mitatu. Kisha, mwaka 2023, aliyekuwa kiongozi wa genge Duane “Keffe D” Davis alishtakiwa kwa mauaji ya Shakur. Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 63 anatarajiwa kufikishwa mahakamani Las Vegas. Anashtakiwa kwa mauaji kwa kutumia silaha hatari akihusishwa na genge la uhalifu, na amekana mashtaka. Akipatikana na hatia, anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela bila uwezekano wa kuachiliwa kwa msamaha. 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw