Kakamega: Wafanyabiashara wafanya maandamano ya amani kupinga siasa katika soko kuu

  • | NTV Video
    1,260 views

    Wafanyabiashara mjini Kakamega wamefanya maandamano ya amani kutuma ujumbe kwa wanasiasa ambao wamekuwa wakielekeza siasa zao katika soko kuu mjini Kakamega na kusababisha kupotea kwa bidhaa zao wakati polisi wanapokabiliana na vijana.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya