Skip to main content
Skip to main content

Kamati maalum yaangalia mgogoro wa SHA baada ya vitisho vya mgomo wa walimu

  • | Citizen TV
    246 views
    Duration: 2:37
    Kamati maalum ya kuangazia changamoto zinazohusiana na bima ya afya ya sha kwa walimu imebuniwa. Malalamishi kuhusu bima ya mwalimu cover yamekuwa yakiendelea kutoka kwa vyama vya kutetea maslahi ya walimu nchini. Vyama hivyo vya kuppet na knut vilikuwa vimetishia kusambaratisha shughuli za masomo kuanzia wiki ijayo kulalamikia kile walichotaja ni mapungufu mengi kwenye bima ya SHA.