17 Apr 2026 10:21 am | Citizen TV 1,145 views Duration: 2:34 Kamati ya Afya ya Seneti imeibua wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya baadhi ya vituo vya afya katika kaunti ya Nandi, ikieleza kuwa kuna changamoto nyingi zinazohitaji kushughulikiwa kwa haraka.