Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya bunge yataka majibu kuhusu sakata ya mafuta

  • | Citizen TV
    1,082 views
    Duration: 3:05
    Kamati ya bunge la kitaifa kuhusu kawi na Petroli sasa inadai majibu kwa serikali kuhusu shehena ya mafuta iliyozua utata huku sasa ikisema haijaridhishwa na maelezo ya waziri Opiyo Wandayi kuhusiana na sakata hiyo. Kamati hii ya David Gikaria ilifanya ziara katika kampuni ya Kenya Pipeline kutathmini kiwango cha mafuta ambapo imebaini kuwa hakuna uhaba wa petroli. Kamati hii sasa ikitaka leseni za wafanyabiashara wanaoficha mafuta kubatilishwa