Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya usalama ya Pwani yatoa makataa ya siku 60 kwa bunduki haramu

  • | Citizen TV
    1,780 views
    Duration: 2:32
    Kamati ya usalama eneo la Pwani imetoa makataa ya siku 60 kwa watu wanaomiliki bunduki kinyume na sheria kuzisalimisha silaha hizo katika kituo chochote cha polisi karibu nao .