Skip to main content
Skip to main content

Kampeni ya uhamasisho ya ulipaji ushuru yatua Isiolo

  • | KBC Video
    68 views
    Duration: 1:34
    Kampeni ya Jijue Jibetter ya halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini ilikuwa katika Kaunti ya Isiolo kwa ziara ya kwanza kabisa ya uhamasishaji kuhusu ulipaji ushuru katika eneo hilo. Halmashauri hiyo imesema makadirio ya mapato ya kaunti hiyo ni shilingi bilioni 6, jambo lililochochea kufanyika kwa kampeni hiyo ya uhamasishaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive