Skip to main content
Skip to main content

Kampeni za amani Nandi

  • | Citizen TV
    50 views
    Duration: 1:30
    Muungano wa vijana kutoka kasipul huko Homabay sasa wanaomba wanasiasa kupunguza joto la malumbano wakisema hali hiyo itasambaratisha umoja wa taifa. Kwenye kikao na waandishi wa habari mjini Oyugis vijana hao wameunga mkono hatua ya mazungumzo baina ya ODM na UDA wakisema itapunguza ghasia miongoni mwa vijana, siasa za uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 zitakapoanza.