Kampuni za umma na za binafsi zaegemea zaidi miradi ya uhifadhi wa mazingira

  • | K24 Video
    61 views

    Ulimwengu unavyozidi kukabiliana na mabadiliko ya tabia, nchi kampuni za umma na za binafsi zinaegemea zaidi miradi ya uhifadhi wa mazingira. Hii leo katika makala ya sauti ya mazingira. matokeo ya mkondo huu na pia wataalam wanavyoshinikiza kuwepo kwa sheria zitakazoshurutisha kampuni kuelekeza michango yazo katika uhifadhi wa mazingira.