Skip to main content
Skip to main content

Kasipul: Kampeni zakamilika, IEBC yasema kila kitu shwari

  • | Citizen TV
    1,095 views
    Duration: 2:46
    Katika eneobunge la Kasipul kaunti ya Homabay, wagombea kumi kwenye kinyang'anyiro cha ubunge pia wamefanya mikutano ya lala salama kuwashawishi wapigia kura. Mgombea wa ODM Boyd Were na mgombea huru Philip Aroko walikuwa mjini Oyugis IEBC ikisema kila kitu ki tayari kwa alhamisi.