Kasisi Dorcas atilia mkazo ushauri nasaha

  • | KBC Video
    55 views

    Mkewe naibu rais, Dorcas Rigathi amewahimiza viongozi na wadau wengine katika kaunti ya Embu kuwapa ushauri vijana na kuwaelekeza kuhusu madhara ya matumizi ya mihadarati ambayo husabisha natatizo mengi ya kiakili.Mchungaji Dorcas aliyekuwa akiongea wakati wa mkutano wa kila mwaka wa maombi wa wanawake wa jimbo la Mbeere ulioambatana na uhamasisho kuhusu uwekezaji aliwataka wanawake kuwekeza katika kukuza familia zao. Askofu wa jimbo la Mbeere la kanisa la Kianglikana, Dkt Moses Masamba aliwapongeza wanawake wa eneo hilo kwa juhudi zao za uwekezaji na uzalishaji chakula na akawahimiza viongozi kuwatafutia masoko ya pojo ambali ndilo zao linalotegemewa kama kitega uchumi katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive