20 Nov 2025 1:37 pm | Citizen TV 405 views Duration: 1:15 Katibu katika wizara ya afya Mary Muthoni ametoa wito kwa wakenya kuzingatia usafi nyumbani, akisema kuwa idadi kubwa ya magonjwa yanatibiwa kwa kuzingatia kanuni za usafi.