Katibu Kisiang’ani atetea hatua ya kutoa zabuni ya uchapishaji jarida la My Gov kwa gazeti la Star

  • | KBC Video
    44 views

    Katibu wa utangazaji na teknolojia ya mawasiliano Profesa Edward Kisiang’ani ametetea hatua ya serikali ya kutoa zabuni ya uchapishaji wa jarida la My Gov kwa gazeti la the Star. Profesa Kisiang’ani amesema hatua hiyo ilizingatia utaratibu ufaao. Kadhalika, alikanusha madai kwamba hakukuwa na uwazi katika mchakato huo na kwamba gazeti la the Star lilivuruga mkataba huo kwa kuwa na ombi la gharama ya chini zaidi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive