- 140 viewsDuration: 1:13Kaunti ya bungoma imejizatiti kukabiliana na visa vya maambukizi ya ugonjwa wa kichocho kutokana na kuwepo kwa vyoo vya kutosha katika sehemu za makazi. Takwimu hii ikishabikiwa wakati ulimwengu unapoadhimisha siku ya kimataifa ya choo.