- 391 viewsDuration: 3:37Wizara ya afya Katika kaunti ya Kajiado imetia saini mkataba wa Ushirikiano na mashirika mbali mbali likiwemo shirika la afya la Amref ambao unalenga kusaidia kupunguza vifo vinavyotokea wakati wa kina mama wanajifungua. Kwenye mkataba huo tayari wizara ya afya imepokea vifaa vya kuwasaidia kina mama kujifungu katika vituo zaidi ya 40 hasa vilivyoko mashinani.