31 Oct 2025 10:13 am | Citizen TV 100 views Duration: 1:24 Serikali ya kaunti ya Taita Taveta inasema itashirikiana na serikali kuu ili kutoa chanjo ya ugonjwa Polio licha ya ugonjwa huo kupungua kwa kiasi kikubwa kutokana na harakati zilizofanywa hapo awali.