- 986 viewsDuration: 2:30Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ameeleza kamati ya bunge kuhusu Fedha na ile ya Ubinafsishaji kwamba Kenya itapata hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 150 kupitia uuzaji wa hisa zinazomilikiwa na serikali kwenye kampuni ya Safaricom. Wengine waliofika mbele ya kamati ya pamoja ya bunge ni pamoja na gavana wa benki kuu ya Kenya Kamau Thugge na muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini COTU.