21 Nov 2025 1:32 pm | Citizen TV 19 views Waziri wa Afrika Mashariki na maeneo kame Beatrice Askul amesisitiza dhamira ya Kenya ya kutekeleza sera za kurahisisha biashara ya mipakani mwa mataifa ya Afrika Mashariki.