- 142 viewsDuration: 3:57Kenya na Italia zimeimarisha uhusiano wao baada ya kutia saini mikataba ya makubaliano inayolenga kuimarisha ushirikiano katika masuala ya usalama na kubuni njia halali za uhamiaji wa wafanyakazi. Makubaliano hayo yanatarajiwa kuimarisha mapambano dhidi ya uhalifu wa kimataifa na wakati huo huo kupanua fursa za ajira kwa Wakenya nchini Italia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive