Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya mauaji ya Lucy Wambui Nganga yaendelea Kibera

  • | Citizen TV
    1,330 views
    Duration: 2:27
    Kesi kuhusu utepetevu wa kliniki ya ulimbwende ya body by design inayohusishwa na mauaji ya mfanyabiashara Lucy Wambui Nganga iliendelea katika mahakama ya Kibera. Hapo jana, mumewe marehemu Francis Nganga alitoa ushahidi wake akidai kuwa kliniki hiyo ilikosa wataalam na ufahamu wa kumhudumia mkewe