Skip to main content
Skip to main content

Kijana wa Kenya akwama Urusi baada ya kujiunga na jeshi la vita

  • | Citizen TV
    3,128 views
    Duration: 2:31
    Familia moja kutoka kijiji cha Kodumo kaunti ya Homa Bay inaitaka serikali, kuwasaidia kumpata jamaa yao aliyekwama nchini Urusi. Richard Ouma, mwenye umri wa miaka thelathini alisafiri mwaka jana kama mtalii, na baadaye kuifahamisha familia yake kuwa amepata kazi katika kikosi cha vita cha Urusi. Hata hivyo, mawasiliano kati yao yalikatika na sasa hawajui hatma ya mpendwa wao.