19 Nov 2025 1:13 pm | Citizen TV 432 views Kikosi cha ODM Pwani kinachoongozwa na Waziri wa Madini Ali Hassan Joho kinaendelea na kampeni eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi ili kupigia debe mgombeaji wa ODM Magarini Kombe Harrison Garama kuchaguliwa tena.