- 1,324 viewsDuration: 1:23Kikundi kipya cha wanaharakati wanawake kimezinduliwa jijini nairobi kuunga mkono muhula wa pili wa rais William Ruto, huku ikilenga kusambaza ajenda yake na kupambana na kile wanachodai kuwa ni upotoshaji wa taarifa kutoka kwa upinzani