- 1,701 viewsDuration: 2:43Shughuli za kawaida katika eneo la Thogoto, Kikuyu, zilisitishwa baada ya mamia ya wakazi kuandamana pamoja na familia ya Victor Karani kwa mara ya pili wakilalamika kuhusu hali ya usalama. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya