Kilimo cha viungo kinaendelea kuwa moja ya sekta zinazokua kwa kasi na kuleta mapinduzi makubwa katika maisha ya wakulima nchini Kenya. Kutoka mimea kama rosemary, mint, thyme, oregano hadi tarragon, jifunze jinsi viungo vinavyolimwa, kuvunwa, na kuandaliwa kwa soko la ndani na kimataifa. Pia utaona jinsi teknolojia kama drip irrigation na fertigation zinavyosaidia kuongeza uzalishaji huku zikidhibiti gharama.
KUTV is a Kenya Digital Television that brings you up to date News, entertaining, educative and informative programs.
Facebook: https://www.facebook.com/kutv.kenya
X (Twitter): https://x.com/kutv_kenya
Instagram: https://www.instagram.com/kutvkenya
TikTok: https://www.tiktok.com/@kutvkenya
YouTube: https://www.youtube.com/@KUTVKenya
KUTV News: https://www.youtube.com/@KUTVNews
Website: https://kutv.co.ke/