Skip to main content
Skip to main content

Kilimo Mamboleo, Upanzi wa Mboga kwa Kutumia Kilimo Asili

  • | KUTV
    160 views
    Duration: 30:15
    Jifunze jinsi ya kupanda mboga kama vile sukuma wiki, mchicha, managu na spinach kwa kutumia mbinu za kilimo asili na kuongeza tija kwa matumizi ya mbolea ya asili ya MaxYield. Kipindi hiki kinaangazia njia bora za kuboresha afya ya udongo na umuhimu wa kupika pH ya udongo kabla ya upanzi, ili kukuza mazao yenye ubora na kuongeza mavuno kwa njia endelevu. KUTV is a Kenya Digital Television that brings you up to date News, entertaining, educative and informative programs. Facebook: https://www.facebook.com/kutv.kenya X (Twitter): https://x.com/kutv_kenya Instagram: https://www.instagram.com/kutvkenya TikTok: https://www.tiktok.com/@kutvkenya YouTube: https://www.youtube.com/@KUTVKenya KUTV News: https://www.youtube.com/@KUTVNews Website: https://kutv.co.ke/