Kina mama wakongamana Kisii kujadili siasa na biashara

  • | Citizen TV
    56 views

    Kina mama kutoka kaunti mbalimbali pamoja na vijana wamekongamana mjini Kisii kwa lengo la kupata hamasisho kuhusu mbinu za kisasa za kujichumia riziki kando na kukuza maadili mema katika jamii