Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa UGM David Maraga amekashifu uvamizi wa wahuni kwenye mikutano ya kisiasa

  • | Citizen TV
    541 views
    Duration: 2:54
    Kinara wa UGM David Maraga amekashifu uvamizi wa wahuni kwenye mikutano ya kisiasa akionya kuwa huenda ikasababisha ukosefu mkubwa wa amani nchini. Maraga aliyezungumza eneo la Bomet amewataka wakenya kujisajili kwa wingi ili kuchagua uongozi unaofaa.