- 2,813 viewsDuration: 1:11Kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung'wah sasa anadai kwamba Kinara wa DCP Rigathi Gachagua alipanga na kutekeleza mwenyewe ghasia zilizoshuhudiwa wakati wa mkutano wa kisiasa Jumamosi eneo la Kikuyu, kaunti ya Kiambu. Mbunge huyo wa Kikuyu sasa akimtaka Gachagua na viongozi wengine wa upinzani kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua kwa kile anachodai ni njama ya kuharibu na kupora raia mali katika eneo hilo