Skip to main content
Skip to main content

Kiongozi wa wengi Seneti atetea mpango wa serikali wa kubinafsisha baadhi ya mashirika ya umma

  • | Citizen TV
    694 views
    Duration: 1:45
    Huku mjadala kuhusu mpango wa serikali wa kubinafsisha baadhi ya mashirika ya umma ukiendelea, Kiongozi wa Wengi katika Seneti, Aaron Cheruiyot, ametetea mpango huo. Akizungumza huko Mosop, Kaunti ya Nandi, wakati wa hafla ya kuchangisha fedha za kanisa,