Skip to main content
Skip to main content

Kiprop akataliwa polisi Kwa miaka 8 Kwa sababu ya kimo

  • | Citizen TV
    1,548 views
    Duration: 3:08
    Zoezi la usajili wa makurutu lilikamilika kwa masikitiko kwa wale ambao hawakutimiza viwango vilivyotakiwa. Katika kaunti ya baringo, idris kiprop ni miongoni mwa walioambulia patupu na alikosa kufuzu kwa mwaka wa nane mfululizo. Kila mwaka idris amekuwa akifika akiwa na matumaini ya kusajiliwa katika idara ya polisi. Hata hivyo, kila mara kimo chake kimemnyima nafasi ya kuvalia sare anayotamani.