Skip to main content
Skip to main content

Kituo cha biashara cha Gikomba chazozana na wadhamini wa msikiti wa Riyadha

  • | Citizen TV
    573 views
    Duration: 52s
    Mahakama ya Mazingira na Ardhi jijini Nairobi imesikiliza maombi mawili yaliyowasilishwa na Kituo cha biashara cha Gikomba katika kesi ya wadhamini wa msikiti wa Pumwani Riyadha na wengine.