22 Dec 2025 1:43 pm | Citizen TV 163 views Duration: 1:17 Wakazi wa kaunti ya Vihiga wamenufaika msimu huu wa Krismasi baada ya kampuni ya Royalmedia ikishiriana na wakfu wa Lomosi kuandaa matibabu ya bure huko Shamakhokho kaunti ya Vihiga.