Skip to main content
Skip to main content

KMPDU yatishia mgomo Embu kutokana na huduma duni za afya

  • | Citizen TV
    546 views
    Duration: 3:01
    Muungano wa madaktari -KMPDU umetishia kusitisha huduma za madaktari katika hospitali za umma kaunti ya Embu. KMPDU inasema kuwa utepetevu wa serikali ya kaunti na usimamizi mbaya wa rasilmali za afya kaunti hiyo ndio chanzo cha huduma duni katika hospitali ya ishiara level 4 na hospitali zingine za umma kaunti hiyo.