20 Nov 2025 1:31 pm | Citizen TV 321 views Duration: 1:48 Kongamano la tatu la kila mwaka la vyombo vya habari, CSO limeanza rasmi leo . Mkutano huo unalenga kutathmini hali ya uhuru na usalama huku kenya ikielkea kwenye uchaguzi mkuu .