Kumekuwa na utata wa mpito wa NHIF hadi hazina ya SHIF

  • | Citizen TV
    954 views

    Wagonjwa wanaotumia kadi za hazina ya matibabu ya NHIF wanaotafuta huduma za matibabu kwenye hospitali za kibinafsi kaunti za Kajiado, Narok, Nyamira na Nakuru watalazimika kulipa kabla ya kupokea huduma. Hii ni kufuatia utata ulioibuka kuhusu ufadhili wa mradi huu wa nhif ambapo sasa muungano wa hospitali za kibinafsi mashinani unasema hospitali zao hazijapokea malipo. Na kama brenda wanga anavyoarifu, usimamizi wa nhif umeshikilia kuwa imetoa fedha hizo.