Skip to main content
Skip to main content

Kupanda kwa gharama za uzalishaji viwandani kuibua hofu ya kupunguzwa kwa ajira

  • | Citizen TV
    390 views
    Duration: 2:48
    Ongezeko la kihistoria la bei ya mafuta limezua wasiwasi na taharuki katika sekta ya kibinafsi na ile ya uzalishaji bidhaa. Kupanda maradufu kwa bei ya dizeli, ambayo ndio tegemeo la kawi ya uzalishaji bidhaa viwandani kumezidisha kwa kiasi kikubwa gharama ya biashara, hali ambayo sasa imewaweka wafanyibiashara katika njia panda huku baadhi wakitathmini kupunguza idadi ya wafanyikazi. Brenda wanga anaarifu zaidi.